News and Updates

KONGAMANO LA TAALUMA ZA MAENDELEO LAANGAZIA MAHITAJI YA DUNIA INAYOBADILIKA

Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na UDOM, SUA, UDSM na MUHAS kimeandaa Kongamano la Tatu la Kitaifa la Taaluma za Maendeleo ili kujadili mwelekeo wa maendeleo ya kijamii yaliyopita, ya sasa na yajayo, ili kukidhi mahitaji ya dunia inayokabiliwa na… Read More

YALIYOJIRI LEO NOVEMBA 24, 2024 WAKATI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, AKITUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA KATIKA UONGOZI YA CHUO KIKUU MZUMBE KWENYE MAHAFALI YA 23 YA CHUO HICHO.

Aliyosema Profesa William Mwegoha, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe # Mwaka huu 2024 Chuo Kikuu Mzumbe kinaweka historia kwa kutoa shahada ya udaktari wa heshima ya kwanza na kwa pekee kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania… Read More

BALOZI DKT. NCHIMBI ATOA WITO KWA WAHITIMU WA CHUO KIKUU MZUMBE KUCHANGIA NA KUSAIDIA MIRADI YA MAENDELEO YA CHUO

Mgeni maalum katika Mkutano wa 24 wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahamasisha wahitimu kuchangia maendeleo ya taifa na kusaidia miradi ya maendeleo… Read More

RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA KATIKA UONGOZI KWENYE MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU MZUMBE MKOANI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu… Read More

Contact Us

Vice Chancellor,

Mzumbe University,

P.O.BOX 1,

Mzumbe, Morogoro.


Tel: +255 023 2604380/1/3/4
Fax: +255 023 2931216
Cell: +255 0754 694029
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.