RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA KATIKA UONGOZI KWENYE MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU MZUMBE MKOANI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024. Shahada hiyo ni ya kwanza katika ngazi hiyo ya Uongozi kutolewa na Chuo chetu tangu kuanzishwa kwake.

PICHA: Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akimtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe   nkwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024

*******

****

*****

*****

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.

*****

 

 

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maandamano pamoja na viongozi wengine wakati wakielekea kwenye eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro kwa ajili ya sherehe za Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024.

Contact Us

Vice Chancellor,

Mzumbe University,

P.O.BOX 1,

Mzumbe, Morogoro.


Tel: +255 023 2604380/1/3/4
Fax: +255 023 2931216
Cell: +255 0754 694029
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.